Linus richy
Member
- Feb 13, 2015
- 29
- 2
ingekua t-shirt tu wachezaji wa ulaya wangekua wamerogana kishenzi
Kwani kupendwa na wanawake wewe unadhani ni bahati eeh? usijitie mkosi mwenyewe huyo alochukua T shirt yako aende kukuroga unanini? umesema sio Handsome,wala huna pesa sasa anakuroga kwa lipi?
Wapi nimesema nimelogwa ?
Uliskia wapi ulaya kuna uchawi?
soma vizuri,au umeandikiwa huu uzi?
Tatizo hili lilianza baada kutembea na demu mmoja hiv ambae alinitaka mwenyewe .na mwisho aliniomba nguo yang (t-shirt) nilimpa maana nilimpenda .cha ajabu alkataa mpya akaitaka ile niliokuwa tayar nimeivaa ..toka kipndi hicho mambo yamekuwa magumu ..
Badili mtazamo..
~~jipende kwanza mwenyewe mpaka kila mtu ajue unajipenda...(jitendee mema,pendeza,jiheshimu,jali utu wa watu wengine,kuwa rafiki wa nafsi yako,tembea katika fikra chanya,yakatae mawazo mabaya n.k)
~~Bada ya hapo jitahidi kumiliki uchumi(yaani uwe na kipato cha kukidhi mahitaji ya msingi...chakula,mavazi,malazi,usafiri,mawasiliano n.k)
Mwisho rafiki yako mkubwa awe MUNGU hakika hutajuta kuishi duniani.....
Acha kuamini hiyo....hujapata mungu aliekuandikia. Na siku nyingine usitoe mtumba kwa mwanamke, wenzio wanatoa mihela 🙂
ingekua t-shirt tu wachezaji wa ulaya wangekua wamerogana kishenzi