Wakubwa nimedowlod piratebay b@rowser,then wakanambia nichuke na bitorrent kwaajil ya dowloading bt naclick dowload button,hadowload na baada kama sekund 0. 01,inaandka downlod completed.lakin ukubwa file ikiwa ni 0kb/s,na2mia huawei android ,model U8185