kadala martin
New Member
- Jan 15, 2014
- 2
- 1
Kuna kauli nyingi sana ambazo ni tata...Lakini kauli tata kuliko zote ni hii "Nina mpenzi WANGU"Ndg watanzania wenzangu/jamii kiujumla,nakuja mbele yenu ili kuwaomb ushaur kwa jambo ambalo lminichanganya akil yng na kunifany hata kukata tamaa kabsa"NINAMPENZ WNG AMBAYE NAMPENDA SANA NA NMEKUW NAYE KTK UHUSIANO KWA MDA WA MWAKA 1 SASA,NILIKUTANANAYE KTK MAZNGIRA YA KIKAZI TU,YEYE ALIKUW AKITOKEA MKOA WA KILINJARO NA MM NIKITOKEA MZA,KATIKATI MWA MWEZI WA 12 ALIPATA RUHUSA YA KWENDA KWAO,NA HAPO NDIPO TATZO LILIPO ANZIA,ALIKUTANA NA MWANAUME WAKE WA ZAMANI NA KUAMUA KURUDIANA NAYE,HAKUPENDA PIA KUNITARIFU JUU YA HILO ZAID YA KUTOKUPENDA KUPOKEA CM YNG,HADI KIPINDI AMBAPO NLIAMUA KUMTUMIA SMS ZA KUTAKA KUJUA NI TATIZO GANI LINAMSUMBUA,KWA BAHATI CM YAKE ILIKUWA MIKONONI MWA BWANA YAKE,AMBAYE ALIMUA KUNIPIGIA CM NA KUNIKEJELI KWA MANENO YA ZARAU,naomben ushaur wenu watz wenzang kwakuw lkizo yake ilikuw n yamwez 1,pndi atapokuw amerud na kuniomb msamaha,je nimsamehe na niendelee nae kwakuw nampend sana na babo namhiaj sana ktk maish yng.
ckiliza moyo wako unasemaje
bwana tujadili magination zake ndo vizuritujadili mambo ambayo hayajatokea? Kwani alikuambia akirudi atakuja kukuomba msamaha?
kwanini unafikiri atakuomba msamaha?
Msamehe bhana. Afu atakapoenda tena likizo usiwe unamdisturb kwa kuwa aliyembikiri atakuwa anampa haki yake.
Naomba nikuulize, umejuaje atakaporudi atakuomba msamaha???
Ndg watanzania wenzangu/jamii kiujumla,nakuja mbele yenu ili kuwaomb ushaur kwa jambo ambalo lminichanganya akil yng na kunifany hata kukata tamaa kabsa"NINAMPENZ WNG AMBAYE NAMPENDA SANA NA NMEKUW NAYE KTK UHUSIANO KWA MDA WA MWAKA 1 SASA,NILIKUTANANAYE KTK MAZNGIRA YA KIKAZI TU,YEYE ALIKUW AKITOKEA MKOA WA KILINJARO NA MM NIKITOKEA MZA,KATIKATI MWA MWEZI WA 12 ALIPATA RUHUSA YA KWENDA KWAO,NA HAPO NDIPO TATZO LILIPO ANZIA,ALIKUTANA NA MWANAUME WAKE WA ZAMANI NA KUAMUA KURUDIANA NAYE,HAKUPENDA PIA KUNITARIFU JUU YA HILO ZAID YA KUTOKUPENDA KUPOKEA CM YNG,HADI KIPINDI AMBAPO NLIAMUA KUMTUMIA SMS ZA KUTAKA KUJUA NI TATIZO GANI LINAMSUMBUA,KWA BAHATI CM YAKE ILIKUWA MIKONONI MWA BWANA YAKE,AMBAYE ALIMUA KUNIPIGIA CM NA KUNIKEJELI KWA MANENO YA ZARAU,naomben ushaur wenu watz wenzang kwakuw lkizo yake ilikuw n yamwez 1,pndi atapokuw amerud na kuniomb msamaha,je nimsamehe na niendelee nae kwakuw nampend sana na babo namhiaj sana ktk maish yng.