Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
bwegebwegeMchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
Sasa si bora huyo msichana akatae kabisa kumkaribisha kama anafata dini kuliko kujidanganya nafsi yakeKuna uwezekana kuwa anawaogopa majirani zake maana wanamwona kaokoka. Kwa sababu kulingana na imani ya dini yake, kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi. Utakuwa unafahamu au kusikia kuwa hata kabla ya dini za Kizungu kuingia nchini, Babu na Bibi zetu walikuwa hawafanyi kabla ya ndoa. Na wakati huo, kwa baadhi ya jamii ukimpatia mimba binti mnawekwa njia panda na kuawawa ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama yenu. SASA KWA KUWA UNAFAHAMU KWA UNAIBA, VUMILIA TU. Lakini na wewe unasubiri nini? Kama huyo mrembo amemaliza chuo na ajira amepata, tangaza ndoa na utuombe michango.
Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
Wewe ulisubiri?
Umeona ee maty! kusubiri mchezo? wanaweza kina miss Judith tuHahahaha lol!
<br />Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
Sasa si bora huyo msichana akatae kabisa kumkaribisha kama anafata dini kuliko kujidanganya nafsi yake
Sawa ni dhambi ila mwanamke angeweza kumzuia kabisa yule mwanaume asifike nyumbani kwake kama ameokoka. kung'ang'ania kwa mwanamme sio sababu ya yeye kumkaribisha na kumfungia ndaniGaga, dhambi ya uzinzi ni utumwa wa kwanza huyu jamaa amejipa ata kabla ya kufungiwa ndani! huwezi kuwa vuguvugu...chagua moja! koz kama nimemwelewa vizuri huyu jamaa, binti hawezi kumruhusu waonekane wanalala nyumba moja kwa sababu watu wa nje wanadhani ameokoka..hivyo inabidi amfungie ndani. Na kwa sababu tayari hiyo dhambi imeshamfunga, anaipenda pia yeye..so ni heri amzuie jamaa kuja au amfungie (koz mshkaji aling'ang'aniza kwenda!)lol
Bandugu..acheni uzinzi..tulieni, mpange ndoa..muoane...mu-enjoy!!!!!!!
mungu awatangulie...
Otherwise nitarudia Mithali6:32 "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake"
Soma vizuri God keshakula weee then akastopishwa kwa kuwa ameokoka, hapo chachaKaa nae mzungumze maswala ya mapenzi, akikwambia yeye ni Bikra basi relax mpaka cku ya kufunga ndoa. Akisema hana basi chapa lapa manake hata akikwambia ameokoka utamwaminije wakati hana na bado anakunyima tunda. Pia mwambie apunguze masharti ya kukufungia ndani kwani swala la kuwa na mchumba siyo dhambi.
Sawa ni dhambi ila mwanamke angeweza kumzuia kabisa yule mwanaume asifike nyumbani kwake kama ameokoka. kung'ang'ania kwa mwanamme sio sababu ya yeye kumkaribisha na kumfungia ndani
Ya leo kali!!!
Pole sana na kugeuzwa mfungwa!Amua umvumilie au umpotezee...