Hivi vitenge kigoma vinapatika Sana bei ya jumla 18000-20000 .
hapa dar mbona vipo tu mkuu..
Sehem gan mkuu? Na bei za jumla wanafanya shi ngapi?
Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Vitenge vya Kkoo vipo tofauti na vitenge vya Congo ukitaka kuvipata bila kusafiri watumie madereva wa bus za kampuni ya Taqwa zinazoenda Kongo nenda Kkoo mtaa Lindi nadhani kama sijakosea ndipo bus zao zinapofikia ongea na wale wanaopakia mizigo watakuunganisha na kondacta au Dereva wa bus za Kongo ili awe anakuletea mnaweza kukubaliana analeta ili akuuzie haumpi pesa ila atakuuzia kwa bei ya jumla..ukivifata kodi yake ni kubwa hapo Tunduma utaviacha tumia hao wanakuja navyo vichache vichache na wanavijua vizuri na matoleo mapya...
Mkuu Kkoo pia vinakuepo watu wanaenda kutoa copy yake China ila vya Congo vipo tofauti na vya kufyatuliwa hata Mimi nilikua naona vipo sawa mpaka nilipooneshwa utofauti wake kwa ubora na uzito na jinsi vinavyopoteza rangi(kuchuja) haraka tofauti na vya Congo...Mimi nimevijua hivyo vitenge nilipokua napanda bus za Taqwa kutokea Lusaka kuja Tanzania nimenunua sana vya zawadi vipo tofauti kabisa,mimi niliwah kwenda kigoma nikachagua vitenge vi5...nikaja navyo..nikavikuta kkoo kwa bei ile ile...nikachoka..thts y watu wa mikoan wanapiga kumbe mtu anaenda chukulia dar tu hapo ...na mm niliambia ukitaka agiza kwa hayo magari...ila ss tatizo linakuja wanaume weng hawajui kuangalia maua mazuri..analeta mavitenge yanan'gaa km wanavyovaa wasukuma wa chita na ifakaraπ
Duuhmimi niliwah kwenda kigoma nikachagua vitenge vi5...nikaja navyo..nikavikuta kkoo kwa bei ile ile...nikachoka..thts y watu wa mikoan wanapiga kumbe mtu anaenda chukulia dar tu hapo ...na mm niliambia ukitaka agiza kwa hayo magari...ila ss tatizo linakuja wanaume weng hawajui kuangalia maua mazuri..analeta mavitenge yanan'gaa km wanavyovaa wasukuma wa chita na ifakaraπ
Mkuu Kkoo pia vinakuepo watu wanaenda kutoa copy yake China ila vya Congo vipo tofauti na vya kufyatuliwa hata Mimi nilikua naona vipo sawa mpaka nilipooneshwa utofauti wake kwa ubora na uzito na jinsi vinavyopoteza rangi(kuchuja) haraka tofauti na vya Congo...Mimi nimevijua hivyo vitenge nilipokua napanda bus za Taqwa kutokea Lusaka kuja Tanzania nimenunua sana vya zawadi vipo tofauti kabisa,
tatizo vitenge vya congo mpaka vikufikie uje uuze faida ni ndogo sana
nunua java k.kooo kwa 19-20 uza 25 au kopesha kwa 30
kwa vinavutia watu wrngi wanavipenda
vya congo vizito ila havivutii
mimi niliwah kwenda kigoma nikachagua vitenge vi5...nikaja navyo..nikavikuta kkoo kwa bei ile ile...nikachoka..thts y watu wa mikoan wanapiga kumbe mtu anaenda chukulia dar tu hapo ...na mm niliambia ukitaka agiza kwa hayo magari...ila ss tatizo linakuja wanaume weng hawajui kuangalia maua mazuri..analeta mavitenge yanan'gaa km wanavyovaa wasukuma wa chita na ifakara[emoji4]
Hivyo vya mtaa wa Congo vingi fekisijui ndo mtaa wa kongo..alafu cha kuchosha zaid bei zinafanana na kigoma...
Kuna kaka angu yuko mpakani huwa ndio anatununulia kwa bei Hii muda mwingine mpk 17000.
Samahan Beef lasagna naomba namba yko plz plz mm yngu ni hyo 0786106281Hivi vitenge kigoma vinapatika Sana bei ya jumla 18000-20000 .
Nakuomba saaaana unitaftie plz plz namba yngu hyo 0786106281Kuna kaka angu yuko mpakani huwa ndio anatununulia kwa bei Hii muda mwingine mpk 17000.