Nashukuru sana kiongozi! Ntafanyia kazi ujumbe wako! Ahsante mnoPole sana ndugu yangu kwa hapo ulipofikia, heri ukaacha kusikiliza maneno ya watu au magraduated au kutumia fikra zako katika swala muhimu la kielimu, Elimu ukufanya uwe na ujuzi na maarifa fulani tofauti na wengine wasioweza kufika hapo ulipofikia ambayo yatakusaidia hapo mbeleni aidha kuajiriwa au kujiajiri hii utokana na program ambayo imekupeleka chuo ni profitable kwako na kwa taifa kiujumla.
kuhusu biashara hiyo unayoifanya biashara siku zote hizi zisizo na ujuzi ama ambazo watu hukurupukia from nowhere au from motivation speaker huwa ni za msimu nadhani utakuwa unafaham mkiwa first year mnapewa darasa la ujasiliamali tena ni lile la upgrated lakini wengi wao huishia kuuza peni kalamu na ubuyu.
Binafsi naona Elimu ndio msingi wa biashara bora yenye mafanikio jitahidi kusave boom per semister then baada ya kugraduate utakuwa na pesa ya kianzio katika biashara hiyo unayoifanya tena utakuwa na faida ya ujasiliamali huku ukisubiri kuajiriwa aidha serikali ama private.
Hata maandiko yanasema uwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja lazima moja litakupokonyoka utakuja kujutia baadae ukiwa umeshapoteza wakti.
Kanuni ya kusoma na kufauru darasani ni rahisi na inaeleweka, ila kanuni ya kufanikiwa kiuchumi ni siri nzito.Pole sana ndugu yangu kwa hapo ulipofikia, heri ukaacha kusikiliza maneno ya watu au magraduated au kutumia fikra zako katika swala muhimu la kielimu, Elimu ukufanya uwe na ujuzi na maarifa fulani tofauti na wengine wasioweza kufika hapo ulipofikia ambayo yatakusaidia hapo mbeleni aidha kuajiriwa au kujiajiri hii utokana na program ambayo imekupeleka chuo ni profitable kwako na kwa taifa kiujumla.
kuhusu biashara hiyo unayoifanya biashara siku zote hizi zisizo na ujuzi ama ambazo watu hukurupukia from nowhere au from motivation speaker huwa ni za msimu nadhani utakuwa unafaham mkiwa first year mnapewa darasa la ujasiliamali tena ni lile la upgrated lakini wengi wao huishia kuuza peni kalamu na ubuyu.
Binafsi naona Elimu ndio msingi wa biashara bora yenye mafanikio jitahidi kusave boom per semister then baada ya kugraduate utakuwa na pesa ya kianzio katika biashara hiyo unayoifanya tena utakuwa na faida ya ujasiliamali huku ukisubiri kuajiriwa aidha serikali ama private.
Hata maandiko yanasema uwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja lazima moja litakupokonyoka utakuja kujutia baadae ukiwa umeshapoteza wakti.
Sahihi Ila maana yako unayoilenga bado sijaipata! Naomba ufafanuzi Abby.Kanuni ya kusoma na kufauru darasani ni rahisi na inaeleweka, ila kanuni ya kufanikiwa kiuchumi ni siri nzito.
Nasomea Shahada ya masuala ya sayansi ya jamii!Unasomea Nini Mtanzania Mwenzangu!?