Message…Sorry! kuna ndugu yangu kamaliza 4m four kapata div 3 ya 24
civics C
Geo C
bios C
kisw C
history C
math F
English D
anataka kwenda chuo cha water Institute atapokelewa kwa Alama hizo? nahitaji maelekezo na ushaur nakaribisha

SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.