Nauliza tu kwaupole.
Hivi kuwa member wa JF unatakiwa uwe na
uzoefu??
Na kama uzoefu usipungue muda gani??
Maanake member mgeni akileta/akichangia
uzi utaona kuna mijamaa inamsakama "ooooh kwanza ni mgeni hapa jamvini"
Au JF ni kwa wakongwe pekee?
Sasa waanzilishi wangekua wananyanyapaa
new membbers, jee wewe expert
ungekuepo?