Swali lako halijakaa vizuri.
iPad product ya Apple wanatumia Operating system yao ya iOS hakuna mwingiliano na Android au Windows.
Android operating system ya Google/OpenSource inatumika na kampuni nyingi Samsung, Xiaomi, Tecno etc. Haiingiliani chochote na iOS au Windows.
Windows operating system ya Microsoft inatumika na kampuni nyindi Dell, HP etc hakuna mwingiliano na iOS wala Android.