unachotakiwa kufanya ni ku rescue data zako kwa removable h/d na kuzihifadhi kwenye coputer nyingine kisha fomat kama nia ni kuifomati,mambo ya os mbili za nini? piga chini hiyo weka fresh!

Fungua local disk yenye OS, tafuta faili liitwalo OLD WINDOWS kisha lidiliti. Faili hilo lina OS ya zamani pamoja na vitu vyote vilivyokuwepo katika hiyo OS