ni mara ya 2 sasa tangu mwezi wa kumi mwaka huu kutokewa na tatizo la moyo kwenda mbio na kuishiwa nguvu mwili mzima wakati wa tendo la ndoa hasa napokua katka harakat za kufunga goli la pili. Nimeshindwa kuibua sababu ya hii....
Nako g, pole kwa hilo tatizo.. Je umeshawahi kufanya check up ya moyo eg, ECG au ECHO? nashauri ni vizuri ukafanya vipimo hivyo, pia check sukari na presha utakapoenda hospitali....
Nako g, pole kwa hilo tatizo.. Je umeshawahi kufanya check up ya moyo eg, ECG au ECHO? nashauri ni vizuri ukafanya vipimo hivyo, pia check sukari na presha utakapoenda hospitali....
Kafanye check-up halafu uje utuambie majibu yanasemaje, unawezakuwa na dalili za shambulio la moyo, shinikizo la juu la damu au Pumu. Kunywa maji ya kutosha kila siku kuanzia glasi 8 mpaka lita 3 na nusu.
Mkubwa kahawa tena? hapo si ndio mapigo ya moyo yatazidi speed kiongozi? nako g japo mimi sio mtaalam ila nashauri kama wadau walivyopendekeza nenda kwanza kafanye checkup hospitali kisha watakushauri nini cha kufanya. Thanks