Imeshanitokea mara nyingi hata mwaka jana nilihangaika mpaka kumcredit vocha za mia tano wap? Hanielewi pamoja na kupiga pasi sasa nimemtoa anaanza kunsumbua wakati mie nshaoa!
Mwanaume ukiwa na sura nzuri utagombaniwa na wa jinsia zote so bola uwe na sura nzito ndio mpango mzima bila kusahau money. Na usiache kutaja raslimali zako kila wakati ie nina nyumba mbili za kupangisha , nina biashara kubwa na nina mpango wa kubadili gari pia usiache kutoa ofa kubwa kubwa kabla hujaombwa unauliza baby una shida gani , pia useme una mpango wa kwenda vacation florida hata kama unamaanisha kampala..
hahahahahaha kazi wanayo kipindi hiki bora zamani ukinunua khanga za mombasa na shati la ndege tu inatosha bila kusahau sabuni ya kunukia lexona na life buoy lol. Mambo sijui ya iphone au ipad au laptop hayakuwepo ndugu yangu mbona wataisoma.ongezea na tembocard
hahahahahaha kazi wanayo kipindi hiki bora zamani ukinunua khanga za mombasa na shati la ndege tu inatosha bila kusahau sabuni ya kunukia lexona na life buoy lol. Mambo sijui ya iphone au ipad au laptop hayakuwepo ndugu yangu mbona wataisoma.
hahahaa... Hii ndio digital bwana a.k.a. dot com... Maisha bora kwa kila mwanamke... No money no honey!!!! Kanga mpelekee nyanya ako kijijini..lol!!
hahahahahahahahahahaa... Hii ndio digital bwana a.k.a. dot com... Maisha bora kwa kila mwanamke... No money no honey!!!! Kanga mpelekee nyanya ako kijijini..lol!!
Habari za leo wana jf? Na2main mu wazima wa afya.kuna k2 huwa najiuliza.unaweza ukampenda mwanamke yeye akawa hata tyme ht kdgo,ukakomaa na muongozo lkn wapi.baadae kabisa ukakata tamaa na kumtoa nafsn baadae tena anaanza kukusumbua je hii inakuwaje? Pia je mwanaume kuna umhimu wa kuwa na sura nzur ili umpate ke?
Wazazi wangu wakati fulani washanihusia jambo hili kuwa, maishani sio kila mara utapata unachokihitaji kwa urahisi. Vitu vingi vizuri huja kwa kuvihangaikia awali na baadae mambo huwa mswano. Kanuni hiyo pia hata kwenye mapenzi inahusika, wakati huyo dada anakukatalia huenda alikuwa na sababu za msingi:
1. Huenda alikuwa na mtu na hakutaka kuwa msaliti kwa mpenzi wake.
2. Hakuwa amejifunza kukupenda pengine kwa kuwa hakufahamu vizuri.
3. Hakuwa anataka mahusiano yoyote kwa wakati huo.
4. Mengineyo...
Hivyo anzisha tu naye mahusiano na bila shaka utamtambua kama yu na mapenzi ya dhati au lah!
watu8
Love doctor!