daah pole sana mkuu MUNGU umwombe sana akusaidie mm nimesoma chuon, wazazi wang hawana hera nlienda tuu na lak tano na uchafu lakn toka hapo sjawai kulipa na ada ilkua million 2 lakn mbil kwa mwaka nimesoma miaka miwil ,kwa shida unafukuzwa lakn ndo ivo ivo ,
jitaidi pata hera ya kianzio itakayofanya wakupokee chuon apo ndo pagumu afu ukifka uko chuon unaweza pata msada