Ulitumia kwa siku ngapi mkuu.? Maana nimeambiwa hiyo pia Nina siku 4 pia natumia Lakini Hali bado.Pole sana mkuu...
Zamani wakati nakua, nilikua namuona mama yangu akikamua mafuta ya kuku wa kienyeji kisha ananiwekea kwenye sikio matone kadhaa na nilipona mpaka leo
Sikumbuki siku sahihi mkuu, lakini wewe unatumia mafuta ya kuku uliyo yafanya mwenyewe ama umenunua yalio fanywa mtaani??Ulitumia kwa siku ngapi mkuu.? Maana nimeambiwa hiyo pia Nina siku 4 pia natumia Lakini Hali bado.
Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua.
Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu huko na kuchomwa sindano nikapewa na dawa pia. Lakini wiki hii yote Hali imezidi kuwa mbaya dawa natumia ila bado.
Pain killer nameza kila baada ya masaa mawili usiku silali naombeni msaada wenu wakuu nateseka sana.
Shukrani sana mkuu, kesho asubuhi nipo hapo.Pole sana, kama uko Dar, wahi sasa kesho mapema Hospital ya Ekenywa pale Magomeni au karibu na kwa Shekh Yahya zamani, au kama unatokea round about ya Kigogo unaenda Magomeni kuna kituo cha daladala cha Mikumi yaani kabla yaTravertine hotel kata kushoto fuata lami kama 1 kilometa au chukua boda ulizia Ekenywa hospital, utapoana kabisa kabisa kabisaaaa..
Mpigie Dr. Emanuel ndio bingwa hapo kwa namba hii..!! 0713 830 034
Huyo Dr. Emanuel ni bingwa hasa wa masikio..!! weka appointment mapema, uwahi asubuhi maana watu ni wengi sana pale Ekenywa
Umejaribu bangi mbichi? i.e. majani mabichi ya bangi.Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua.
Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu huko na kuchomwa sindano nikapewa na dawa pia. Lakini wiki hii yote Hali imezidi kuwa mbaya dawa natumia ila bado.
Pain killer nameza kila baada ya masaa mawili usiku silali naombeni msaada wenu wakuu nateseka sana.
Okay....Mimi nilinunua tu mtaani mkuu.
Hao jamaa ni kiboko ya masikio aisee,sikio lilinisumbua kama mwezi..nlitoka huku dom mbio mbio kwenda dar..nmefika usiku..alfajir nkawa wa kwanza pale ekenywa..nmeingia nko hoi,sikio hakisikii chochote,nkakutana na dr Max..Pole sana, kama uko Dar, wahi sasa kesho mapema Hospital ya Ekenywa pale Magomeni au karibu na kwa Shekh Yahya zamani, au kama unatokea round about ya Kigogo unaenda Magomeni kuna kituo cha daladala cha Mikumi yaani kabla yaTravertine hotel kata kushoto fuata lami kama 1 kilometa au chukua boda ulizia Ekenywa hospital, utapoana kabisa kabisa kabisaaaa..
Mpigie Dr. Emanuel ndio bingwa hapo kwa namba hii..!! 0713 830 034
Huyo Dr. Emanuel ni bingwa hasa wa masikio..!! weka appointment mapema, uwahi asubuhi maana watu ni wengi sana pale Ekenywa