Heshima yenu wataalam, nina laptop yangu inatumia window 7 ultimate, cha ajabu kuna mafile nilikuwa nafuta kwenye program files!! mala ghafla ikazimika na kuwaka, kila niki play music sauti haitoki ndio inakuja sms hiyo, na rangi sio ile wa mwanzoni ni kama imefifia.
Naombeni msaada nifanyeje hali ni tete.