Tangu jana playstore yangu imegoma kudownload na wananiambia tatizo ni nafasi imejaa.
Nachoshangaa ni kuwa mi nina free space kama MB 130 lakini hata nikitaka nidownload kitu cha Mb 1 bado inagoma.
Mfano ni hapo nilitaka niinstall dsp pack ya player pro ina mb 1 lakini inanigomea kisa device imejaa wakati nna free MB 100+..
MSAADA WENU JAMANI, natumia huawei ascend y330