Naomba Msaada kuhusu out look e-mail

Eistein

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
1,107
Reaction score
482
Wadau salamu

Samahani ninashida na outlook -e-mail yangu zamani ilikuwa poa sana, gafla ikaanza kutoingiza e-mail kabisa, basi nikadelete e-mail zoote, shida iliyopo sasa ni kuwa e-mail mpya ikija unaiona kabisa katika icon inaingia katika inbox, lakini haimalizi hata sekunde 30 inapotea na haionekani tena si katika samp fodder au wapi, nimejaribu hata kuingia katika server ya ofisi nako nikadelete hizo e-mail. But shida iko paleple new e-mail in popup unainona gafla inapotea.

Msaada tafadhali shida ni nini hasa

 
mimi pia naomba kujuzwa niset vipi yahoo mails ziingie kwenye outlook? msaada tutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…