sadati audax
Member
- Aug 24, 2017
- 17
- 2
Sio wewe peke yako mimi mwanangu yamemkuta jaribu kupitia vyuo ulivyokuwa umechaguliwa yawezekana wamekuconfirm huko, hivyo huko tcu wakiona umeconfirm vyuo viwili jina lako halirudishwi chuoni, mwanangu ali confirm Dodoma online na kwa sms sasa baada kutokea hivyo niliangalia ifm nikakuta kuna majina ya wale ambao hawakuwa approved na tcu na wame confirm IFM nikakuta jina la mwanangu lipo huko eti ka confirm IFM,Nikashangaa kwani mwanangu kwanza hajawahi kuingia mtandaoni na ni mimi nilikuwa naingia mtandaoni, na pili kila hatua lazima tushauriane. Nikabaki bila jibu ya nani ka confirm kwa niaba yake au IFM wameamua kuwafanyia confirmation?Nilichaguliwa udom first selection nikiwa kwenye group la multiple selection. Sa nkapigiw na admision oficer wa udom akasem kama nataka kwenda udom nimwambie aconfirm, nkamwambia aconfirm na mm nkaingia kwenye account yangu nikaconfirm lakn jana naangalia majina ya waliofanikiwa kuconfirm udom hata jina langu hamna, nifanyeje jaman maana wao nawapigia bado sijapata msaada
Ngoja mungu atende miugiza tuu,,hamna jinsAsante mkuu,,,vp apo sasa tcu ukiconfirm vyuo viwili wanakufuta sehem zote au wanakuacha na moja?
Hawatarudisha jina lako kwa chuo chochote, mimi nilimtuma ndugu yangu aliyepo Dar,alikwenda IFM wakamwambia wao hawawezi kumtoa kwenye list ya walio confirm ila aende TCU na TCU wakamwambie mwanafunzi aandike barua kwa vyuo husika kile anachotaka awathibitishie kuhudhuria huko na kile asichotaka awaandikie kuwa hataenda huko, amefanya hivyo kwa email na nakala katuma TCU lakini bado anasubiri kama kutakuwa na matokeo chanya.Asante mkuu,,,vp apo sasa tcu ukiconfirm vyuo viwili wanakufuta sehem zote au wanakuacha na moja?