pole sana ndugu, yani daa Mungu akuwezeshe sana kupata hiyo ada, ila jua kazi, tempo + voluntieer ni ngumu sana. so jitoe hata kwenda kule mjini kwenye maghorofa yanayojengwa ukapige kazi, mi nina rafiki yangu ni binti anajisomesha chuo huwa anaenda kufanya kazi huko yani inauma ila no way out mkuu nenda kapige kazi hata ukipata kidogo Mungu atasaidia utapata cha kuongezea. ila ukisubri upewe tempo itakula kwako, japo unaweza bahatisha.
kilaRecho mkuu Mungu akufanikishe.