Jamani mimi naomba kuuliza,nasikia sehemu ya kigamboni eneo kubwa limenunuliwa na aliye nunua ni rais wa zamani wa marekani yaani george bush,je habari hizi ni za ukweli?
That is possible,but I have not heard about it. Maybe he wants to clear the forest and build a Christian Civilization,and make Dar es Salaam the new Rio de Janeiro.