naitwa joh
Umri 20
Mkristo
Kabila ni mnyaturu
Naishi dar tabatasegerea
Friend of lowasa/ukawa
Mcheshi
Mkweli
Msafi
Nina akili ya maisha
Najua kuthamini
Nahitaji kupendwa na binti awe na umri kuanzia 18-22
awe mvumilivu na nia ya dhati
TUANZE NA URAFIKI KWANZA TUKIONA TUNAFAANA MAMBO MENGINE YATAENDELEA
Aliyeguswa ani pm tafadhali