habari za asubuhi/mchana/jioni/asubuhi (kutegemea na eneo ulilopo) natumaini ni wazima wa afya , mimi hapa JF nilikua natembelea toka mwaka 2012 mwanzoni kusoma habari za kisiasa nikaja kugundu kuna majukwaa mengne mazuri , yanajadili na kuchambua kiufasaha mambo mbali mbali, mnamo april 10 2013 nikachukua uamuzi sahihi kujiunga na kuwa mwanachama halisi lakini hata hvyo mahudhurio yangu yameanza kuwa mazuri from july hivyo nilihitaji kujua utofauti wa JUNIOR MEMBER, MEMBER, JFEXPERT MEMBER nilichokigundua mm hizo ni ranks zinazotokana na muda uliokaa pamoja na kiwango cha kupost je kuna faida unayoipata ukitoka ranks moja kwenda nyingne au ni status tuuu aksanteni sana CC
Arusha one ,
Lady doctor,
mutambuzi,
paka jimmy
Heaven to the earth ,
Munkari ,
watu8 , @liwanda,
Mkunde Original,
Mrembo by Nature na wengne wengi hawa ndo majinaa yao yamenikaa so msidhani siwaheshimu nawaeshimu wote hata waliojiunga jana na leo nawaeshimu sana