mkuu mi nina wasiwasi na hizo kazi mana mwaka jana ndo kulikuwa na tangazo kama hilo hilo nafasi 145 hata mimi niliomba na zilitangazwa kwenye daily news na gazeti nilinunuaga zilikuwa hivo hivo japo sikumbuki ilikuwa gazeti la tarehe ngapi, japo hizo tarehe za deadline na mwaka kwenye hilo tangazo nimejaribu kucheki zinaonesha ni za mwaka huu,sasa cjui imekuwaje,please nakushauri fuatilia kwa ukaribu usije ukawamis lead watu wakatumia resource zao kuapply kumbe mauzauza,japo mi naona kama ni za mwaka jana mana zingekuwa za mwaka huu ungeziona kwenye web yao au web ya ajira au magazetini.