Huu mzigo hatari...Charlie Chaplin
Kingsman : The Secret Service
ASANTE mkuiNipo naangalia
Colombiana hapa... nimetoka kuangalia
Area 13 nikimaliza naangalia
Hitman Agent 47, zote hizi nazirudia.. ni movies nzuri
ASANTE mkuuHuu mzigo hatari...
Zipo mbili.. kuna
Kingsman : Golden circle
ASANTE mkuuBad Boys for Life, IP man4, Catch Me If you Can, Triple Threat, Coming to America, 12 years a Slave, Escape from Sorbibo, Not without my Daughter, Godfather, The Day of The Jackal,Home alone, Babys Day Out, Madmax The Fury Road, Yankee Zulu,Jackie Chan's Mr Nice Guy,Mr Bean The Holiday..
Hahaaa, asanteBila kusahau forbidden science binafsi nimependwa kwichikwichi mle.
Siamgalii bongo movie, asante kwa muda wako piaMisukosuko ukiikosa hiyo kuna saradini ukiikosa na hii kuna shumileta ukiikosa na hii angalia hata nsyuka ukikosa zote hizo my friend washa tv angalia hata zile chenga chenga tu.
Hii hapana, hiyo cost sitaiweza kwa sasaJiunge Netflix ... movie kama zote
BEST MOVIES:-Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia.
Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya dunia. Natamani walau kutumia muda huo kukaa na familia kuangalia movie ili walau kupunguza muda wa watoto kuzirura na kujiburudisha pia.
Naomba mnaojua movie mzuri za kuangalia na familia. Napenda sana movie za vichekesho kwa kuwa mimi mwenyewe ni mcheshi pia.
Neshaangalia baadhi kama Mr Bone na Zulu Yankee.
Nategemea ushirikiano wenu na tuombeane katika janga hili na tuwe makini ili jamii isije poteza wanafamilia yake.
I love you
Sent using Jamii Forums mobile app
ASANTE sana mkuu kwa muda wako. Bila shaka nitakuwa na muda wa kupitia hizi movieBEST MOVIES:-
How to train your dragon 1,2&3
Angry birds 1&2
Sherk 1,2,3&4
Leap
Trolls
9
Bee movie
Big Hero 6
Bolt
Free Birds
Frozen 1&2
Gnomes 1,2&3
Home
Ferdinand
Finding Dory
Finding Memo
Fly me to the moon
Horton Hears a who
Ice Age 1,2,3&4
Khumba
Lion King 1,2&3
Kung Fu Panda 1,2&3
Madagascar 1,2,3,4&5
Aisee ni NYINGIIII
Maliza kwanza hii list then nitafute NIKUPE LIST NYENGINE.
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app