habari zenu wapendwa naomba kufahamu hospitali nzuri inayoweza kupanga vyema meno yaliyokaa vibaya pamoja na gharama na je naweza kutumia bima kugharamia matibabu hayo?