ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,402
Usifanye kazi yoyote wewe endelea kutembea barabarani kwa miguu kuna siku utaokota begi au gunia lenye hela za escrow na utakuwa tajiriHabari za mihangaiko wakuu.mimi naishi ubungo kila siku napita njia ile ya riverside to makoka. Sasa haiwezi kupita siku tatu bila kuokota hela.mara nyingi ni 200 na 500.kwa mfano leo asubuhi nimeokota 200 mara mbili halafu maeneo tofauti.jana pia nimeokota 500 japokuwa jana nilimuona mdada aliyeiangusha ila nikaiokota kimyakimya .kifupi kuokota hela kwangu ni matukio ya kawaida sana.sasa najiuliza hii bahati inatokana na nini?au kwa sababu nazurura sana na ni kweli me huwa natembea sana sometime sipand daladala naamua kufanya mazoezi njian nakutana na mazali kama hayo kuokota hela.yaani hadi raha
Kwenye kucha karibu vidole vyote nina vile vialama vya madoa meupe
Wana jf wenzangu nipeni maoni,pongez au ushauri
Mna majibu mabay.mbona roho mbaya hivi..sasa maada hapo ni uokotaji wa hela we unaleta pumbaSubr zam yako n wew wakuokote
Pia nimegundua unapotembea style nzuri ni kuinamisha kichwa chini.sio muda wote shingo pembeni hapana nikitembea natazama sana chini naangaza huku na hukuUsifanye kazi yoyote wewe endelea kutembea barabarani kwa miguu kuna siku utaokota begi au gunia lenye hela za escrow na utakuwa tajiri
Waswahili tuna msemo wetu, ya kuwa mtembea bure si sawa na mkaa bure, huenda akaokota. Kwahyo wewe endelea kutembea kwani utazidi kuokota kwa wingi.Habari za mihangaiko wakuu.
Mimi naishi Ubungo kila siku napita njia ile ya Riverside to Makoka. Sasa haiwezi kupita siku tatu bila kuokota hela, mara nyingi ni 200 na 500. Kwa mfano leo asubuhi nimeokota 200 mara mbili halafu maeneo tofauti, jana pia nimeokota 500 japokuwa jana nilimuona mdada aliyeiangusha ila nikaiokota kimyakimya.
Kifupi kuokota hela kwangu ni matukio ya kawaida sana, sasa najiuliza hii bahati inatokana na nini? Au kwa sababu nazurura sana na ni kweli me huwa natembea sana sometime sipand daladala naamua kufanya mazoezi njian nakutana na mazali kama hayo kuokota hela.yaani hadi raha
Kwenye kucha karibu vidole vyote nina vile vialama vya madoa meupe
Wana jf wenzangu nipeni maoni,pongez au ushauri
chakulokota si chakuiba mwenye mali ndo mjinga.Umemuona aliyedondosha ukaokota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe kuokota hela definition yake ipo tofauti siku hizi
Weka utaratibu wa kupita maeneo ya benki muda wa jioni unaweza ukawa unaokota za noti noti kwa wingi sana, pia usisahau kupita berau ukalokota ma madolari pia.Mna majibu mabay.mbona roho mbaya hivi..sasa maada hapo ni uokotaji wa hela we unaleta pumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana anaokota yeye tu hela kla siku wasiwe watu wasiojulikana wanamtegaKuwa makini usikute unategwa
Pia nimegundua unapotembea style nzuri ni kuinamisha kichwa chini.sio muda wote shingo pembeni hapana nikitembea natazama sana chini naangaza huku na huku
ndio hivyo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana anaokota yeye tu hela kla siku wasiwe watu wasiojulikana wanamtega