Nanunua IST(toyota)

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,765
Reaction score
2,684
Habari wakuu.
Natafuta IST(TOYOTA) yenye sifa hizi:

1.Iwe namba C au D

2.Jina la muuzaji liwe kwenye kadi

3.Bei isizidi milioni sita(6,000,000/-)

Simu:0713-039875 au 0784-976570
 
Kwa hiyo bei ,Kama utapata ujue ya wizi....[emoji23] [emoji23]
 
Hakuna IST ya bei hiyo kaka, kama Vitz utapata sio IST, Ukitaka IST bajeti ya chini kabisa weka Milioni nane 8,000,000
 
Car buying agent upon kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…