Nanunua bunduki


.
we upo Serious au unatania tu?
Njoo nikuuzie Bastola yangu!
.
 

Attachments

  • 23115.jpg
    39.2 KB · Views: 220
Hahahaha pepo la bunduk litasepa
Likaraborikaraboooo..sindarakaraboreresirenda. hivindivyo mrokole atakavyonena kwa luga baada ya kuona tangazo hili. hahahahaaaaaaa! bunduki kweli hii ni Bizineee.
 
Kama uko serious ni inbox uku wanga wengi ata ukitaka rocket renger ya kutungua vifaru ntakupatia kwabei ya kutupa na ntakupatia zawadi ya smg moja mpya kabisa
 
Nunua glock 9m inakutosha kama bajet ipo safi
 
Jamaa anachangamsha baraza. Hakuna bunduki ya shotgun aina Ak-23KP.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…