Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Kwikwikwi Odinga nae akaona nimempata atakayewashawishi wakenya nipite shaaaa!!! Weee wakenya wakaona eee tusijeangusha uchumi wetu bureee
.tangu lini we upo ChademaBinafsi sioni malengo yetu ya kizalenda ya kutaka tuaminike. Tunahitaji wazee wenye busara washauri upya uongozi. Wanatakiwa wawambie viongozi mipaka na miiko ya taifa.
Bila hayo tutafutika katika mioyo ya watu.
Wakati wa suala la kutaka taifa likatiwe misaada kuna watu walisema TL amepotea na amekosea. Leo amechoma taifa kwa wadai wetu eti ili apate kutawala.
Si vema kukaa kimya. Chama kiangalia kwa upana wake na kuona busara za wazee hata 10 wanaoweza shauri juu ya misingi ya kiuongozi.
Bila hivyo tutapotea.
Mtei uko wapi babu!!!
Tundu Lissu ndio kawa KATIBU Mkuu na Mwenyekiti Chadema. Na hicho cheo cha Rais wa TLS basi ndo kapewa rung u la kukusanya pesa za deal kupitia ma adui wa Nchi. Mhujumu uchumi wa Nchi hatakiwi uraiani. Jela ndio nyumbani Kwao. Ningekuwa na uwezo ningemkamata kwa uhujumu uchumiBinafsi sioni malengo yetu ya kizalenda ya kutaka tuaminike. Tunahitaji wazee wenye busara washauri upya uongozi. Wanatakiwa wawambie viongozi mipaka na miiko ya taifa.
Bila hayo tutafutika katika mioyo ya watu.
Wakati wa suala la kutaka taifa likatiwe misaada kuna watu walisema TL amepotea na amekosea. Leo amechoma taifa kwa wadai wetu eti ili apate kutawala.
Si vema kukaa kimya. Chama kiangalia kwa upana wake na kuona busara za wazee hata 10 wanaoweza shauri juu ya misingi ya kiuongozi.
Bila hivyo tutapotea.
Mtei uko wapi babu!!!
Wishful thinking, Lisu sio size yako pole sana.Tundu Lissu ndio kawa KATIBU Mkuu na Mwenyekiti Chadema. Na hicho cheo cha Rais wa TLS basi ndo kapewa rung u la kukusanya pesa za deal kupitia ma adui wa Nchi. Mhujumu uchumi wa Nchi hatakiwi uraiani. Jela ndio nyumbani Kwao. Ningekuwa na uwezo ningemkamata kwa uhujumu uchumi
Malengo ya kizalendo ndio nini?Binafsi sioni malengo yetu ya kizalenda ya kutaka tuaminike. Tunahitaji wazee wenye busara washauri upya uongozi. Wanatakiwa wawambie viongozi mipaka na miiko ya taifa.
Bila hayo tutafutika katika mioyo ya watu.
Wakati wa suala la kutaka taifa likatiwe misaada kuna watu walisema TL amepotea na amekosea. Leo amechoma taifa kwa wadai wetu eti ili apate kutawala.
Si vema kukaa kimya. Chama kiangalia kwa upana wake na kuona busara za wazee hata 10 wanaoweza shauri juu ya misingi ya kiuongozi.
Bila hivyo tutapotea.
Mtei uko wapi babu!!!
Malengo ya kizalendo ndio nini?
Unaposema tuaminike ili iwe vipi, CDM inaaminika bara na visiwani, mjini na vijijini, ndani na nje ya nchi. Unakuja na hoja dhaifu hata aibu huoni.
Hao uliodai wazee kawaambie waanze na pogba kwenye chama chako CCM, wakimaliza waende CUF ya lipumba. CDM wazee wanao tena wana busara zao za kutosha so shut the hell up!