pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Huyu analala aisee Mimi najificha tuHivi utajisikiaje mtu ambae ni mpenzi wako na unachat nae almost every day.. but mmeachana kwa good terms kwasabab kuna mambo hamuendi sawa mkaamua ku break up.
The next day unamtafuta na kumjulia hali anakuuliza nan mwenzangu*??
Au mtu ambae mna ongea na kuchat bt mmekorofishana kidogo unamtext anakujibu nan mwenzangu*?
Mpaka naandika hiv imenitokea mie mwenyewe tena leo hii... kwa mtu wangu wa nguvu ambae nakula mzigo kila inapobid..
Leo namtext like mambo vip uko poa najibiwa nani sorry mwenzangu!????
Ikabid nimjibu mm ni JPM..
Akajibu mxuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hovyooo,_
Nikaendelea na shughuli zangu.. nikasema hakuna noma ngoja niuchune niachane na hizi drama..
Cha ajabu ucku huu kanichek ananiambia baby uko wap!? Nmekumiss yan akimaanisha tayar kashamaliza jambo lake alilokua anafanya!
Nikamjibu nan!? Rebecca!?? Nikimaanisha jina la x wangu ambae anamjua.. na anajua jins gan huyo rebecca anavyonipenda..
Cha ajabu nmekula matusi had ya alienizaa..
Sasa nini mbayaa!???
Shida niniii!??
Umemwaga mboga nmemwaga ugali..View attachment 764952
Mkuu huyo kwa avatar ni wewe?Utoto huo....!!!!
Umewahi kupitia wanayoyapitia ?Ni nzuri
Ni fresh
Ni yako
wanawake waache tu walivyo,,,,, wanapitia mengi sema ndio hivo mamorcard ya kichwa chao haijai
sijui ni KB,MB au TB!
Bora umemwambia wewe...Utoto huo....!!!!
Wewe ni KE au ME?Hivi utajisikiaje mtu ambae ni mpenzi wako na unachat nae almost every day.. but mmeachana kwa good terms kwasabab kuna mambo hamuendi sawa mkaamua ku break up.