Baada ya kufanya utafiti nimegundua hakuna hata mmoja anaeishi zanziba saivi mwenye asili ya znz. Hii ni baada ya kuhoji wazee wa kila wilaya ya zanzibar. 60% wana asili ya Tabora, 25% ni watu wa kigoma, 5% wamakonde na wamawia, 3% waarabu, 3% watu wa morogoro% 2% wa tu wa ulaya na 2% mataifa mengine. Kwa asiye amini arudie utafiti huu kwa kutumia njia tofauti na yangu maana mie ilikuwa ni mahojiano. Nawasilisha uelimisha watu zaidi.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Ni kweli kabisa,juzi tulikua tunabishana na wazanzibari eti hawataki kusikia kama wao ni wanyamwezi