kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,822
- 20,824
Hapo kuna DUME NA GARASA,,, sasa sijuwi Tangia Lini GARASA likageuka DUMEHakuna ubishi kuwa huu usajili unaenda kukamilika within 24-48hrs. Sanchez to Mancherster Utd na Henrick Mkhitaryan to Arsenal, kama mlifatilia press conference ya leo the boss mzee wenger amethibitisha hilo akisema linaenda kutokea. je nani amelamba dume ? jose au wenger ? tujadili kisport na sio ushabiki.
mkhi ana impact gan arsenal ? nafasi yake iko wapi ? endapo ozil hatoondoka naona mmoja atakuwa anaanzia bench, wote naona ni attacking midfilders wakipendelea number 10 role.
vp ujio wa sanchez utd utaleta madhara gani ? ni wazi kuwa rashford/martial/jesse wataathika kwa hili.
bila kusahau kuwa mzee wenger ameongelea uwezekano wa kumsign piere emeric wa dortmund, na kumpa sifa kede kede. binafsi sio fun wa arsenal lakini kama atafanikiwa kumpata aubameyang atatengeneza partinership nzuri sana yeye na mkhi kama ile iliyokuwa pale dortmund miaka kadhaa iliopita, naiona chemistry flan mzee wenger anataka kuitengeneza...
umesahau kumtaja lacazette.... ila naona tuwape muda wote hawa watatu, next season watakuwa motoTusubir kwanza, yasije yakawa kama ya Lukaku na Morata.
najitahidi kuelewa ulichokiandika nashindwaHapo kuna DUME NA GARASA,,, sasa sijuwi Tangia Lini GARASA likageuka DUME
DUME ni sanches... Miky GARASA,, nadhani nimeelewekanajitahidi kuelewa ulichokiandika nashindwa
DUME ni sanches... Miky GARASA,, nadhani nimeeleweka
Noup camp kulikuwa na mafundi Wengi kipindi kile,,, na sanches hakupewa nafasi ya kucheza muda mwingi,, tofauti na miky,, kapewa kila kitu man u,,, cheza mpira,, ,,, anachimba chini... Anaacha mpira,,Mda ndio utakaoamua! Hata huyo Sanchess akiwa new camp mpira ulikataa kabisa.
Micky unamuona garasa kwa sababu alikuwa anapakishwa basi wakti yeye hajui hayoDUME ni sanches... Miky GARASA,, nadhani nimeeleweka
micky sio garasa mkuu... muda utasema, haendani na mfumo wa jose.... angalia kina mo salah, kina de bryune mpira uliwakataa wakiwa mikononi mwa jose, nadhani wanachokifanya sasa unakijua...DUME ni sanches... Miky GARASA,, nadhani nimeeleweka
Subiri muone anavyopoteza mipira ovyo kwa chenga zisizohitajika. Ana fighting spirit lakini sio team player. Hutaelewa sasa lakini muda utakapo fika usisite kuja kunipa ata hiDUME ni sanches... Miky GARASA,, nadhani nimeeleweka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee sio poa Ana chimba chin okay mfumo Uta mbeba Sana uyu jamaaNoup camp kulikuwa na mafundi Wengi kipindi kile,,, na sanches hakupewa nafasi ya kucheza muda mwingi,, tofauti na miky,, kapewa kila kitu man u,,, cheza mpira,, ,,, anachimba chini... Anaacha mpira,,