Nani anafunika wenzie?

mbona mimi huwa nafwatilia sana series lakini siwafahamu hata sasa nasubiria kipindi kimya cha TOP GEAR SERIES 90 KWENYE BBC ENTERTAINMENT.
Nafikiri aina ya series unazoangalia wahusika hao hawapatikani.
 
Dah! Wambele wa mbele2 ona walivyo ni bamba. Ila ume chafua kumuweka huyo wahapa hapa wahapa hapa!
 
Dah! Wambele wa mbele2 ona walivyo ni bamba. Ila ume chafua kumuweka huyo wahapa hapa wahapa hapa!
Haaaaaaahaaaahaaaa,mbavu zangu mkuu zihurumie,huyo aliyekuchefua si unampotezea tu?
 
kwani hawa niwa makambako, tandaimba, mkuranga, au kilimanyege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…