Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Haya jiko lishachukuliwa na mwenyewe jamani.....Alililililili....

She looks stunning aisee, Klynn alinidisappoint flani ila Nancy amewaka jamani. Mrembo wa Afrika katendea haki title hadi kwenye wedding. Haya sasa Zuri ataftiwe mdogoake fasta.

Swali la kichokozi: Nakaaya yukwapi jamanii? Au Mange alisemaga ukweli kuwa haziivi?











Uliisoma hii? Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…