ni jambo la wazi kuwa magufuli anapiga kazi lakini sasa mfumo uliomfanya magufuli kuwa mgombea wa ccm ndo unaomgarimu magufuli ila naona anaweza kuwa PM.
Hilo liko wazi wala halipingiki. Bora itugharimu kwa miaka mitano kwa kufanya maamuzi magumu kuliko kuendelea kuwajaribu watu ndani ya chama kimoja ambacho kiuhalisia kimeshindwa kusimamia ilani zake
ni jambo la wazi kuwa magufuli anapiga kazi lakini sasa mfumo uliomfanya magufuli kuwa mgombea wa ccm ndo unaomgarimu magufuli ila naona anaweza kuwa PM.
Kijana we ukapimwe we huoni panya dume kaenda kuoa familia ya pembeni, yaani hapo Baba mwizi, mama mwizi na nawaambieni hata watoto watakaozaliwa nao watakuwa wezi....
Mm nadhanı wana CCM ndo wanatakiwa kuwa na hofu kwa Magufuli.Kwa jinsi ninavyo mwona namlinganisha Rais flanı wa Malawi aliye wachenjia wenzake mpaka wakachanganyikıwa.