Huwa inatokea sana,muhimu mama ale vizuri na anaweza kuendelea kunyonyesha mpaka ujauzito ufike miezi saba ili kuacha nafasi ya maziwa ya mwanzoni yenye kinga kutengenezwa kwa ajili ya Mtoto mpya!Baba atoe ushirikiano wa kutosha kulea Mtoto maana mama anaweza kuchoka na kushindwa!kila la kheri kwao