ukoo mzima hakuna aliye na mawasiliano nae huyo stella?
Hili nalo neno, maana kama ni ndugu wa ukoo angeanzia hata kwa wazazi wake na huyo binti au kaka/dada zake wangeweza kumsaidia mawasiliano ya haraka!Ukoo mzima hakuna aliye na mawasiliano nae huyo Stella?
kuna kipindi nlipewa namba za simu ambazo kila nikimpigia simpati bila shaka zilikuwa hazitumiki,nikafanya jitahada nikapewa nyingine nazo pia akawa hapatikani na hata hizi za mara ya mwisho ambazo wengi wa niliojaribu kuwaulizia wanaonekana kuwa nazo hapatikani pia.na ndo maana nikaona nije hapa pengine nitaweza kusaidiwa kumpata.
facebook hayupooooooo???