Andaa chumba kisafi, madirisha yawekee mifuko au magunia ili hewa isiingie hata kidogo. weka rada chin kisha isambaze iwe size moja. weka magazeti juu ya rada za mbao. weka majiko mawili kulingana na wingi wa vifaranga. weka mkaa kwenye majiko. andaa chicken driker weka maji na dawa ya glucose. na kuna chakula cha kukuzia vifaranga. mpaka siku tano ndo utaondoa majiko ya mkaa baada ya kuchangamka vizuri. bado limeisha mkuu.