kaburunye JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 672 Reaction score 83 Sep 19, 2011 #1 Wadau, Nimepata ipad2 3G ambayo iko locked kutumia sim card ya japan (Softbank network). Je kuna uwezekano wa kui-unlock ili ikubali kutumia mitandao yetu ya kibongo? Je hii huduma ya ku-unlock inapatikana wapi? Msaada tafadhali
Wadau, Nimepata ipad2 3G ambayo iko locked kutumia sim card ya japan (Softbank network). Je kuna uwezekano wa kui-unlock ili ikubali kutumia mitandao yetu ya kibongo? Je hii huduma ya ku-unlock inapatikana wapi? Msaada tafadhali
Mnandi Senior Member Joined Aug 30, 2011 Posts 156 Reaction score 28 Sep 19, 2011 #2 nadhani njia moja ni kuiJailbreak then utaUnlock kwa mitandao yote kupitia 'Cydia' application,,,,
kaburunye JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 672 Reaction score 83 Sep 20, 2011 Thread starter #3 kwa hiyo inawezekana, siyo??
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 808 Sep 20, 2011 #4 kaburunye said: kwa hiyo inawezekana, siyo?? Click to expand... ni pm nikuelekeze jinsi ya kuifungua