Nakupa tablet,nipe laptop

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
nakupatia toshiba tablet t100 ina wifi,usb cable,camera@movie
ukigoogle utaipata gb16,natmia cm ndo mana cjaweka picha.
Tubadilishane na kompyuta ila iwe inasoma cd,nimeamua ivo coz ninazo 2 na naitaji tena kompyuta kwa kazi zangu.
 
mkuu majuzi niliona kama umeiweka sokoni!haijachukuliwa!
 
Mkuu ulinipa namba ILA hupatikani,nipe namba nikupigie tufanye biashara.
 
nakupatia toshiba tablet t100 ina wifi,usb cable,camera@movie
ukigoogle utaipata gb16,natmia cm ndo mana cjaweka picha.
Tubadilishane na kompyuta ila iwe inasoma cd,nimeamua ivo coz ninazo 2 na naitaji tena kompyuta kwa kazi zangu.

inatumia OS gan?ina nch ngapi?naweza kufanya na wewe bussinesa
 
nakupatia toshiba tablet t100 ina wifi,usb cable,camera@movie
ukigoogle utaipata gb16,natmia cm ndo mana cjaweka picha.
Tubadilishane na kompyuta ila iwe inasoma cd,nimeamua ivo coz ninazo 2 na naitaji tena kompyuta kwa kazi zangu.

mkuu umefanya nn mbona umepigwa bann
 
Janga la hiyo Tab haina option ya Line kama hauna WIFI sehemu uliopo utatumia kwa ajili ya kusikiliza Music na kuangalia Video tu.
kivp kua waz usaidie na wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…