Nakodisha vyumba vya biashara

Emaoi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
307
Reaction score
235
Kwa wale wenye kupenda kufanya biashara ndogo ndogo nina vyumba vya kupanga vipo sanawari barabarani kabisa na kuna umeme. kodi yake ni shilingi elfu 40 kwa mwezi ukija tutaongea. wahi mapema upate unafuu. kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi 0653 954094
 
Jf kamwe aichoshi..... Na Mimi ninakodisha vyumba vya biashara vipo kwa mrefu barabaran kabisa.....
 
Ukipata MATEJOO nistue.
 
Ukiweka uzi kama huu siku nyingine sema uko wapi, unaweza kukuta mtu uko Magu huko kumbe mtu anataka chumba Matumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…