Nakodisha Tally license

Joined
Jun 13, 2016
Posts
10
Reaction score
4
Habari zenu,
Kwa wale wanaohitaji Tally.ERP 9 original version lakini hawawezi ku afford gharama ya kuinunua, tunayo license za kukodisha

Kwa maelezo zaidi unaweza kuuliza

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…