TanPromotion
Member
- Aug 25, 2024
- 14
- 19
Sema Dar es salaam ya wapi! Nimepata admission ya chuo kimoja hivi kusomea mambo ya ulinzi shirikishi. Hivyo nahitaji geto kali kama lile la Mangwair.NAJUMLISHA GETO
Godoro Dodoma 5×6 inchi 8=200k
Kitanda chuma=160k
Meza plastiki=30k
Feni panga boy=30k
mtungi wa gesi=25k
Jaba +ndoo 2 =40k
Kikapu Cha vyombo plastic=20k
Viti plastic=30k
JUMLA= 536k. (Reja reja ruksa kununua)
OFA.
- KODI Hadi October 30/2024✅
-Mto m1✅
LOCATION😀ar ES Salaam
Kivule Dar ES SalaamSema Dar es salaam ya wapi! Nimepata admission ya chuo kimoja hivi kusomea mambo ya ulinzi shirikishi. Hivyo nahitaji geto kali kama lile la Mangwair.
Nishaweka 🙏Shule imeshia?unarudi kijijini kama mwenzio.Ila Mkuu Daresalaam kubwa weka location halisi.Ungepata wazo ukanunua conteiner ukatengeneza ghetto Leo usihangaika kuuza ungetafuta Semi lako wanapachika wanakupelekea huko kwenu Tandahimba.Kuepuka kuanza life upya.
😂Unafurahisha kaka .......Shule imeshia?unarudi kijijini kama mwenzio.Ila Mkuu Daresalaam kubwa weka location halisi.Ungepata wazo ukanunua conteiner ukatengeneza ghetto Leo usihangaika kuuza ungetafuta Semi lako wanapachika wanakupelekea huko kwenu Tandahimba.Kuepuka kuanza life upya.
Kitunda.kivule ipo wapi
duh sijawai fikapo ukoKitunda.
Safari yako inaanzia Banana
Wewe unaishi Dar??duh sijawai fikapo uko
ndioWewe unaishi Dar??
Aisee!ndio
banana napasikia mwisho wangu airport pale sina friend mitaa iyoAisee!
Sasa unaishi Dar hupajui Banana