Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Kwani hamjui wabunge wenyewe wa ccm kama wamepita kwa uchakachuaji for a large percent ?
Msijifanye hamujui ukweli, wizi usingefanyika ccm insingefikisha wabunge hata 50 na huo ndo ukweli japo najua nyie ccm mtapinga tu kwani ukweli unauma...
Shame on you! !
Sasa kifanyike nini? Ni wabunge wangapi wa ukawa kwa sasa wanapinga matokeo mahakamani? Nami naongea kama mwana ukawaKwani hamjui wabunge wenyewe wa ccm kama wamepita kwa uchakachuaji for a large percent ?
Msijifanye hamujui ukweli, wizi usingefanyika ccm insingefikisha wabunge hata 50 na huo ndo ukweli japo najua nyie ccm mtapinga tu kwani ukweli unauma...
Shame on you! !
Kwani hamjui wabunge wenyewe wa ccm kama wamepita kwa uchakachuaji for a large percent ?
Msijifanye hamujui ukweli, wizi usingefanyika ccm insingefikisha wabunge hata 50 na huo ndo ukweli japo najua nyie ccm mtapinga tu kwani ukweli unauma...
Shame on you! !
Kwani hamjui wabunge wenyewe wa ccm kama wamepita kwa uchakachuaji for a large percent ?
Msijifanye hamujui ukweli, wizi usingefanyika ccm insingefikisha wabunge hata 50 na huo ndo ukweli japo najua nyie ccm mtapinga tu kwani ukweli unauma...
Shame on you! !
Raia Fulani Kungekuwa na ''uwanja sawa'' kwa vyama vyote kwenye uchaguzi Lowassa angeshinda! Na kama Lowassa angeshinda ndio ungeshangaa jinsi wanasiasa walivyo vigeugeu kwani wabunge wengi wa CCM wanamkubali na kumpenda Lowassa.Sasa kifanyike nini? Ni wabunge wangapi wa ukawa kwa sasa wanapinga matokeo mahakamani? Nami naongea kama mwana ukawa
Raia Fulani Kungekuwa na ''uwanja sawa'' kwa vyama vyote kwenye uchaguzi Lowassa angeshinda! Na kama Lowassa angeshinda ndio ungeshangaa jinsi wanasiasa walivyo vigeugeu kwani wabunge wengi wa CCM wanamkubali na kumpenda Lowassa.
Hivyo nina uhakika asingepata shida kutawala. Na Lowassa angeshinda ni kuwa CCM ingeanza kudhoofu na hatimae ife kabisa kwani kinachoiunganisha sasa hivi ni nguvu ya dola tu!
Ina maana vyombo vyote vya ulinzi na usalama vingekuwa chini ya UKAWA (soma Lowassa) hivyo kwa kutumia hivi vyombo wale CCM ambao wangeleta kimbelembele wangesambaratishwa kwa muda mfupi sana!