Naitamani octob 25

mechanical 1

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
64
Reaction score
15
wakuu hbr za week end ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi

wakuu mm nikijana ambaye nimepata mateso kwa serkali ya jk kutokana na kuona serkali haizingatii utawala bora bali bora utawala pia my father alifanya alikuwa ccm kipindi hicho alivyo kuwa pale chuo cha ccm mrutungulu ukelewe as mkufunzi

kinacho nifanya hadi niitamani octob 25 niko lkz hapa dar na nilifanikiwa kujiandikisha hapa dar so nikaona kwenda home mkoani naweza kushindwa kuhamisha taarifa zangu kwa wakati ikanisababisha nikose kupiga kura

tatizo kubwa ninaishi kwa anko yeye in blood ni ccm na mke wake hata watoto wadogo wamerithi uo UCCM sasa ni mtu wa kumtusi mgombea wa ukawa(mh lowasa) kwa kutumia lugha kali na za kejeli tena nyakati wa kula chakula .

tatizo langu lingine kutokana na maumivu ya ccm spendi ckia hbr za ccm sasa yeye cku nzima anackiliza radio uhuru hbr zao huwa ni kufagilia ccm na kuponda wapanzani , yeye akickia hbr za wapinzani wakipondwa ndipo anaongeza maneno ya kejeli na matuc juu kwa wafuasi including me

kwa kweli nikiona maisha yake halisi , watanzania kwa ujumla plus maneno yake naumia sanaa lkn huwa mm nimkimya sana ckumjibu kitu

please wadau naomba tutambue kuna maisha baada ya uchaguzi angalia hali yako halisi angalia hali ya maisha ya watanzania wa chini chukua hatua kufanya babadiliko

nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…