Naitaji gari bajeti mil 5

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
habari wanajanvi wenzang,naitaji gari ambayo ipo juu,isiwe chini sana,pia iwe haijaguswa engine wala tatizo lolote la kiufundi,fuel consumption yake walau iwe 14km/ltr,ikiwa Toyota ntashukuru sana,iwe manual,automatic inategemea na gari yenyew,bajeti 5mil
 
Ongeza hela upate gari ya kueleweka la sivyo utauziwa gari isiyoguswa na fundi na ww utakuwa ndio wa kwanza kwenda nayo gereji na gari kama hizo zikianza kusumbua hadi ujue ttz lake utakuwa umepoteza hela na muda mwingi


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Ipo NIsan san manual ni ngumu haijaguswa na fundi kila kitu imelipiwa pm ipo Arusha kwa M 4.5.
 
Kama upo Serious nina Mark X 2005 Black,Odometer 98653km CAG Reg bei 6m ongeza 1m nikuachie

 

mkuu ongeza hela kidogo utapata gari la juu, vp toyota camry
 
nitumie hizo picha za hiyo gari (Mark x) apa 0755 927881...ila useme na mapungufu ya gari mapema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…