chardboy77 Member Joined Aug 5, 2013 Posts 53 Reaction score 6 Oct 30, 2016 #1 Wakuu nautafuta sana wimbo wa vijana jazz unaitwa chivalavala. naomba kama kuna mtu anao tusaidiane kupitia 0766399341. Nitachangia hela ya bundle.
Wakuu nautafuta sana wimbo wa vijana jazz unaitwa chivalavala. naomba kama kuna mtu anao tusaidiane kupitia 0766399341. Nitachangia hela ya bundle.
Tareeq JF-Expert Member Joined May 3, 2010 Posts 828 Reaction score 408 Oct 30, 2016 #2 IPO sana you tube
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,888 Reaction score 7,038 Oct 30, 2016 #3 Mimi natafuta wimbo wa Tancut Almas nisioufahamu jina lakini ndani yake kuna kibwagizo kisemacho "wamama mwipulike...". Pia wimbo wa Nifah wa Orchestra Makassy.
Mimi natafuta wimbo wa Tancut Almas nisioufahamu jina lakini ndani yake kuna kibwagizo kisemacho "wamama mwipulike...". Pia wimbo wa Nifah wa Orchestra Makassy.
hotneedle Senior Member Joined Jun 23, 2016 Posts 166 Reaction score 145 Oct 30, 2016 #4 Kibwagizo hicho kipo kwenye album walioifanya nje ya bendi ya tancut almasi, Kasaloo kyanga na Kyanga songa, nafikiri nilikuwa inaitwa Wakulima
Kibwagizo hicho kipo kwenye album walioifanya nje ya bendi ya tancut almasi, Kasaloo kyanga na Kyanga songa, nafikiri nilikuwa inaitwa Wakulima
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Oct 31, 2016 #5 Nyimbo zote za zamani njia ya mkato kuzipata ni kuenda TBC Radio.