Haikua haki au sawa kupambanisha Wakenya na Waganda, hata ukijaribu haiwezi kufanyika, nimeishi Uganda jameni wale watu wana ukarimu wa asili, tena hawajisifu wala nini ipo ndani ya damu yao, sijawahi kujihisi mwenye furaha kama mgeni kama ilivyokua kwa Waganda.