Mkuu Kimox Kimokole Ninaweza kuipata tatizo lake itakuwa ni bei kubwa tofauti na huko nyumbani ndio nikangoja huko kwanza kama umeipata au bado ? ukiingia online tuzungumze kwenye Skype ninaweza kukutafutia huku unasemaje?
Mkuu.@Kimox KimokoleBaada ya leo Jumatano tangu asubuhi mpaka jioni kwenda kwenye Maduka ya computer makubwa zaidi ya maduka 5 nimeipatahiyo Eye- FiWi-Fi SD Card ila haina maandishi haya (Prox2) na Bei yake ni Dollar 150 kama utahitaji wasiliana na mimi kwenye Skype au nitumie Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Angalia picha hapo chini jinsi ilivyo hiyo Eye- Fi Wi-Fi SD Card.