Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 266
Hapana,kiwandani kuna kiwango cha mwisho ambacho hua wanahtaj ili wakupe fair priceKama una shida na mifuko mingi hivo si bora uende kiwandani moja kwa moja ?
Lakn ,kuna watu huwa wanakua nayo au wana viwanda vya printing kuna ile inayokosewa kuwa printed mimi kwangu inafaaKama una shida na mifuko mingi hivo si bora uende kiwandani moja kwa moja ?
Ahaaaa ahsante kwa elimuLakn ,kuna watu huwa wanakua nayo au wana viwanda vya printing kuna ile inayokosewa kuwa printed mimi kwangu inafaa
Umepata chimbo au!??Ulifanikiwa mkuu